Kitabu hiki cha talasimu kiliichopo katika mfumo wa PDF ni mkusanyiko wa zaidi ya talasimu za ajabu 2100 za tiba na kinga. Ikiwa unahitaji kujikinga dhidi ya kijicho husda, kupata rizki, kutibu magonjwa mbalimbali, kumuangamiza adui basi kitabu hiki ni Mujarabu kukuongoza kukamilisha adhma hiyo.
Kitabu hiki ni maalum kwa waganga wa kienyeji pamoja na wataalaamu wa tiba za kisunnah. Kitabu hiki kimesheheni michoro mbalimbali ya talasimu za ajabu na kutisha.